Majaribio ya Imani (Tempting Faith) PDF Download

Are you looking for read ebook online? Search for your book and save it on your Kindle device, PC, phones or tablets. Download Majaribio ya Imani (Tempting Faith) PDF full book. Access full book title Majaribio ya Imani (Tempting Faith) by Crystal Hubbard. Download full books in PDF and EPUB format.

Majaribio ya Imani (Tempting Faith)

Majaribio ya Imani (Tempting Faith) PDF Author: Crystal Hubbard
Publisher: Genesis Press Kiswahili
ISBN: 158571660X
Category : Fiction
Languages : en
Pages : 186

Book Description
Mwandishi wa habari za burudani Faith (Fortunata) Wheeler anajua siri ambayo inaweza kumpa umaarufu mkubwa Hollywood. Kwa bahati mbaya siri hiyo inaweza kumuharibia umaarufu wake mkubwa msanii nyota Zander Baron. Nyota mpya kabisa anaechipukia kwa kasi wa filamu za ngumi waHollywood Zander ana kila sifa ambazo mwanaume yeyote angependa kuwa nazo – na mwanamke anazovutiwa nazo. Mtanashati, ana akili, huruma na mcheshi. Zander ana hewa ya ajabu ambayo inamfanya alete mshawasha wa kutaka kumjua zaidi. Hakuna mtu anayejua ukweli kuhusu asili na pengine hata jina lake halisi. Isipokuwa Fortunata. Fortunata anajua kila kitu kuhusu mwanaume huyu aitwaye Zander Baron, kwa sababu alishawahi kuwa na uhusiano naye wa kimapenzi usiku mmoja wa ajabu na kusikitisha walipokuwa bado vijana katika mji mdogo wa Booger Hollow, Magharibi mwa Virginia. Faith anamfahamu alivyo na zaidi ya hapo anamjua Zander ni nani. Akijawa na mipango ya kumfichua , Zander anatafuta kila mbinu ya kumnyamazisha. Anatumia uwezo wake wa akili , muonekano wake, uchangamfuwake na njia zote kumshawishi afiche siri yake, lakini maafa yanapoikumba tena Booger Holow, Zander anagundua ukweli kwamba hawezi kuishi bila ya mwanamke huyu – ni ufunguo wa kuaw na Fortunata.

Kolonia Santita

Kolonia Santita PDF Author: Enock Maregesi
Publisher: AuthorHouse
ISBN: 1477222979
Category : Fiction
Languages : en
Pages : 407

Book Description
'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya – na kung’oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi – na duniani kwa jumla. Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda – na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili – na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.

Kenya National Assembly Official Record (Hansard)

Kenya National Assembly Official Record (Hansard) PDF Author:
Publisher:
ISBN:
Category :
Languages : en
Pages : 379

Book Description
The official records of the proceedings of the Legislative Council of the Colony and Protectorate of Kenya, the House of Representatives of the Government of Kenya and the National Assembly of the Republic of Kenya.

Pages : 31

Pages : 683

Pages : 32

Pages : 542

Newsletter

Newsletter PDF Author: Tanzania Red Cross Society
Publisher:
ISBN:
Category : Emergency management
Languages : un
Pages : 12

Book Description